siku hiliyofuata nikiwa katika pilika zangu za kimaisha
nikiwa nakusanya taka na mkokoteni nika baatika kumuona yule mwanamke hakiwa
amepaki gari lake na kuingia benki nikaona bora nimsubili mpaka atakapotoka ili
timia kama muda wa nusu saa kwa bahati yule dada akatoka wakati ana toka kabla
ya kuingia ndani ya gari lake nika msogelea huku nikisema samaani dada yangu
aligeuka na kuniangalia kwa zarau kisha akasema aaah!!! Nimesha choshwa na nyie ombamba samaani sana kaka naomba
uniache nipo bize kwanza sasa hivi pesa
sina kisha dada huyo hakaingia ndani ya gari lake na mimi sikusita kuendelea
kuongea nikasema samaani dada yangu sikuja kwako kuomba na wala sihitaji
chochote kutoka kwako niwema wangu tuu ndio ulionifanya nije kwako tusipote
muda nimekuletea mzigo wako ulio usahau pale kwenye kioski kasha nika mkabizi
pochi dada huyo alishangaa sana nakushuka kwenye gari mimi nika mwambia samaani
dada yangu ningependa ufungue pochi yako utazame ndani kuwa kunakitu kilicho
pungua dada huyo alifungua nakutazama ndani ya pochi hilo akagundua hakuna kitu
chochote kilicho pungua baada ya hapo hasante zilikuwa nyingi kutoka kwa dada
huyo pamoja na kuniomba samaani kwakunita ombaomba kisha akaongea akisema hivi
sasa nime toka benki kuwatahaarifu kuwa nime poteza kadi yangu ya benki
kwakweli ilikua nimesha kata tama na sikumbuki wapi nilipoteza kadi hii kisha
akajitambulisha kwangu akasema samaani naitwa Sandra sijui mwenzangu unaitwa
nani na mimi nikajibu nikisema my name is jeff
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment