STORY
BY JEFF A.K.A RAFIKI WA KWELI
AIMANI SALIM KHASIM ni msichana mwenye miaka 24 akiwa
anatoka masomoni akiwa ana degree ya sheria kwa ufupi AIMANI ankua mwana sheria
wakujitegemea ,AIMANI anaomba kibali cha kutembelea wafungwa katika gereza
kubwa hapa nchini bila kipingamizi AIMANI anafanikiwa kuupata kibali na kuanza
kuhojiana na wafungwa wa kifungo cha muda mrefu AIMANI anafunguriwa chumba no.1
ambacho ku namfungwa mmoja tu ambae akiwa amelala AIMANI anaingia kwenye chumba
hicho askari anamwamsha mfungwa huyo ambae alikua amelala mfungwa huyo ana
shtuka na kuamka kasha askari huyo anaondoka na kumuacha AIMANI akiwa na
mfungwa huyo kwa maojiano mfungwa huyo anaonekana akiwa na masharefa pamoja na
ndevu nyingi AIMANI anajitambulisha kwa mfungwa huyo akisema naitwa AIMANI
SALIM KHASIM sijui mwenzangu nani
unaitwa mfungwa huyo anajibu akisema MY NAME IS JEFF kwakirefu naitwa JAFARI
OTHMAN FALII lakini nimezoeleka kwajina la JEFF.AIMANI anaendelea kumuoji
mfungwa huyo akisema samaani sana JEFF mimi ni mwana sheria wa kujitegemea
ningependa kujua kilicho kufanya mpaka hukawepo kwenye gereza ili please.
Naomba nieleze kwa kirefu ni mkasagani ulio kukuta JEFF anatabasam kasha ana
kohoa baadae anacheka kidogo JEFF anaanza kujielezea akisema kama
nilivyo kuambia hapo mwanzo naitwa JEFF nina umri wa miaka 30 nilizaliwa hapa
hapa nchini.
0 comments:
Post a Comment