Hata MAMA mwana atamkimbia kila mtu mzigo wake atauchukua
siku hiyo mali nyumba hazito kusaidia ila amari njema ulizotenda ndizo zitakazo
kuokoa tusiache ibada na tusiache mola kumsujudia ujumbe huu ulipendwa na watu
wengi nilipokea simu nyingi kutoka kwa watu mbalimbali watuwengi wali hisi mimi
ni mchamungu sana nakumbuka sikumoja ilikua mchana wa saa saba na nusu nikiwa
nimeshikwa na kiu nikakuta kioski kimoja kinauza vinywaji nilipaki mkokoteni
wangu nakwenda kupata kinywaji kulikuwa kuna watu wengi wakipata vinywaji
sikuweza kukaa kwenye kiti chochote kutokana na hali yangu niliagiza kinywaji
huku nime simama kuna mwanamke mmoja alikua ameketi kwenye kiti na kinywaji
chake kikiwa mezani kwa taratibu akiburudika ghafla akapigiwa simu akapokea na kuongea
akanyanyuka nakuondoka kablaya kuondoka akalipia kinywaji kisha akatoka nje ya
kioski nakuingia ndani ya gari yake nakuondoka zake kwakua mimi nili simama kwa
muda mrefu nikaenda kuketi palepale alipo keti yule mdada nikakaa huku nikinywa
kinywaji nilicho agiza mara nikaona pochi ya kike nika shtuka nilipomaliza
kunywa kinywaji nika waza na kukumbuka kuwa pochi hii amesahau yule dada aliye
pigiwa simu nikaji uliza nikitangaza hapa kuwa pochi hii ni ya nani watu wata
jitokeza wengi nikaona bora niifazi hipo siku labda nitaonana naye mwenyewe na
mimi nilipo malizanikalipia kinywaji nakuendelea na kaziyangu ilipo fika jioni
nilipo maliza kazi zangu nikatazama ndani ya pochi kulikua kama kuna dola mia
nane pamoja na pesa taslimu zakitanzania shilingi 55000 na kadi ya benki nakitambulisho cha mwanamke yule.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment