Nikawaza nita wezaje kuonekana mwema ilinibidi ni badilishe
mwenendo wa maisha yangu nilijituma kufanya kazi mbalimbali nikiwa na kazi ya kukusanya taka nyumba hadi
nyumba nikiwa na mkokoteni. Sikumoja nili kwenda kutupa taka jalala nikabahatika kuokota simu nakwabahati
sikukuta laini ndani ya simu hiyo naskuweza kujua simu hiyo ni ya nani
nikaitazamavizuri na kufungua ndani nikakuta simu nzima nikaichukua simu hiyo
nakutafuta laine nikaanza kuitumia, nikawaza na kufikiri kasha nikahisi simu
hii simuy hii itanisaidia kufikisha ujumbe wangu kwa watu mbalimbali ili wasimsahau mungu. Nikatunga
ujumbe unaosema “mungu asifiwe lolote anapanga yeye ninani tumuabudie mwingine
zaidi yake yeye hakuna aliye jiumba mwenyewe sote katuumba yeye inatupasa
tumsujudie”, kasha nikabuni namba nyingi mbalimbali kasha nikatuma ujumbe huo
kwa namba mbalimbali ambazo nilizo zibuni. Chakushangaza wengine walinijibu
meseji za kunikomesha na kunitukana lakini sikujibu kitu naendelea kufanya kazi
zangu zakilasiku nikipata pesa natia vocha katika simu yangu wakati wausiku
nikiwa nime tulia nikatunga ujumbe mwingine tena unaosema “Tumtukuze mola wetu
ameumba pepo na moto kwa Ajili yetu
ametuandalia pepo kwa mema yetu na kaumba moto kwa maasi yetu je? Tuangalie nyendo yetu? Hatumkosei mola
wetu, Je? Pepo itakuwa makazi yetu? Au moto utachoma miili yetu. Tushindane na
nyoyo zetu Tumsujudie mola wetu”.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment