Kama kawaida yangu
nikautuma ujumbe huo kwa mara nyingine kwenda namba za simu mbalimbali mara
nikawa napigiwa simu na zile namba ambazo nilizozitumia ujumbe hule wengi
walitaka kujua mimi ninani, wakiniuliza jina langu namimi nawajibu nikisema “MY
NAME IS JEFF”. Wengi wao wali vutiwa na ujumbe wangu nilio watumia kwenye simu na baadhi ya watu walinipigia
simu na kunioji kwamba nimepataje nambazao, mimi nikaji nikisema nina buni
namba yeyote bila ya kujua ni ya nani nia na ma dhumuni ujumbe wangu huifikie
jamii. Nili tumia hekima na busara kwa kila aliye nioji hasilimia kubwa ya watu
walionihoji waliniunga mkono huku wakitaka kilasiku niwatumie ujumbe unaowae
limisha . ukweli kwamba wali nitia moyo sana
. nikatunga ujumbe mwingine tena unaosema “Anaye lipiza baya kwa ema nishetani
hafai kanisani wala hafai msikitini
hatoingia peponi ataishia motoni”, kwa maana usilipe ubaya kwa kwa aliye
kuleta duniani Je? Kesho utakuwa mgeni wa nani. Nikasamba ujumbe huo kwenda
namba mbalimbali. Kuna baadhi ya watu walitaka kuonana na mimi hata hivyo
sikujiamini kuonana na mtu yeyote kutokana na aliyangu hivyo watu wengi
walitaka ushauri kutoka kwangu kwasababu wali hisi ni mtu mwema . kama kawaida
yangu niliendelea kutuma ujumbe kama ifuatavyo
“Dunia ni njia amini nawaambia hakuna kitacchobakia soote kwa mola ndipo
tunapoelekea fikiri siku ya mwisho palapanda itakapo lia”.
0 comments:
Post a Comment