Pages

Powered by Blogger.

Wednesday, December 18, 2013

{6} MY NAME IS JEFF


siku hiliyofuata nikiwa katika pilika zangu za kimaisha nikiwa nakusanya taka na mkokoteni nika baatika kumuona yule mwanamke hakiwa amepaki gari lake na kuingia benki nikaona bora nimsubili mpaka atakapotoka ili timia kama muda wa nusu saa kwa bahati yule dada akatoka wakati ana toka kabla ya kuingia ndani ya gari lake nika msogelea huku nikisema samaani dada yangu aligeuka na kuniangalia kwa zarau kisha akasema aaah!!! Nimesha choshwa  na nyie ombamba samaani sana kaka naomba uniache nipo bize  kwanza sasa hivi pesa sina kisha dada huyo hakaingia ndani ya gari lake na mimi sikusita kuendelea kuongea nikasema samaani dada yangu sikuja kwako kuomba na wala sihitaji chochote kutoka kwako niwema wangu tuu ndio ulionifanya nije kwako tusipote muda nimekuletea mzigo wako ulio usahau pale kwenye kioski kasha nika mkabizi pochi dada huyo alishangaa sana nakushuka kwenye gari mimi nika mwambia samaani dada yangu ningependa ufungue pochi yako utazame ndani kuwa kunakitu kilicho pungua dada huyo alifungua nakutazama ndani ya pochi hilo akagundua hakuna kitu chochote kilicho pungua baada ya hapo hasante zilikuwa nyingi kutoka kwa dada huyo pamoja na kuniomba samaani kwakunita ombaomba kisha akaongea akisema hivi sasa nime toka benki kuwatahaarifu kuwa nime poteza kadi yangu ya benki kwakweli ilikua nimesha kata tama na sikumbuki wapi nilipoteza kadi hii kisha akajitambulisha kwangu akasema samaani naitwa Sandra sijui mwenzangu unaitwa nani na mimi nikajibu nikisema my name is jeff

{5} MY NAME IS JEFF


Hata MAMA mwana atamkimbia kila mtu mzigo wake atauchukua siku hiyo mali nyumba hazito kusaidia ila amari njema ulizotenda ndizo zitakazo kuokoa tusiache ibada na tusiache mola kumsujudia ujumbe huu ulipendwa na watu wengi nilipokea simu nyingi kutoka kwa watu mbalimbali watuwengi wali hisi mimi ni mchamungu sana nakumbuka sikumoja ilikua mchana wa saa saba na nusu nikiwa nimeshikwa na kiu nikakuta kioski kimoja kinauza vinywaji nilipaki mkokoteni wangu nakwenda kupata kinywaji kulikuwa kuna watu wengi wakipata vinywaji sikuweza kukaa kwenye kiti chochote kutokana na hali yangu niliagiza kinywaji huku nime simama kuna mwanamke mmoja alikua ameketi kwenye kiti na kinywaji chake kikiwa mezani kwa taratibu akiburudika ghafla akapigiwa simu akapokea na kuongea akanyanyuka nakuondoka kablaya kuondoka akalipia kinywaji kisha akatoka nje ya kioski nakuingia ndani ya gari yake nakuondoka zake kwakua mimi nili simama kwa muda mrefu nikaenda kuketi palepale alipo keti yule mdada nikakaa huku nikinywa kinywaji nilicho agiza mara nikaona pochi ya kike nika shtuka nilipomaliza kunywa kinywaji nika waza na kukumbuka kuwa pochi hii amesahau yule dada aliye pigiwa simu nikaji uliza nikitangaza hapa kuwa pochi hii ni ya nani watu wata jitokeza wengi nikaona bora niifazi hipo siku labda nitaonana naye mwenyewe na mimi nilipo malizanikalipia kinywaji nakuendelea na kaziyangu ilipo fika jioni nilipo maliza kazi zangu nikatazama ndani ya pochi kulikua kama kuna dola mia nane pamoja na pesa taslimu zakitanzania shilingi 55000 na kadi ya benki  nakitambulisho cha mwanamke yule.

{4}MY NAME IS JEFF


Kama kawaida yangu nikautuma ujumbe huo kwa mara nyingine kwenda namba za simu mbalimbali mara nikawa napigiwa simu na zile namba ambazo nilizozitumia ujumbe hule wengi walitaka kujua mimi ninani, wakiniuliza jina langu namimi nawajibu nikisema “MY NAME IS JEFF”. Wengi wao wali vutiwa na ujumbe wangu nilio watumia  kwenye simu na baadhi ya watu walinipigia simu na kunioji kwamba nimepataje nambazao, mimi nikaji nikisema nina buni namba yeyote bila ya kujua ni ya nani nia na ma dhumuni ujumbe wangu huifikie jamii. Nili tumia hekima na busara kwa kila aliye nioji hasilimia kubwa ya watu walionihoji waliniunga mkono huku wakitaka kilasiku niwatumie ujumbe unaowae limisha . ukweli kwamba wali nitia moyo sana . nikatunga ujumbe mwingine tena unaosema “Anaye lipiza baya kwa ema nishetani hafai kanisani wala hafai msikitini  hatoingia peponi ataishia motoni”, kwa maana usilipe ubaya kwa kwa aliye kuleta duniani Je? Kesho utakuwa mgeni wa nani. Nikasamba ujumbe huo kwenda namba mbalimbali. Kuna baadhi ya watu walitaka kuonana na mimi hata hivyo sikujiamini kuonana na mtu yeyote kutokana na aliyangu hivyo watu wengi walitaka ushauri kutoka kwangu kwasababu wali hisi ni mtu mwema . kama kawaida yangu niliendelea kutuma ujumbe kama ifuatavyo “Dunia ni njia amini nawaambia hakuna kitacchobakia soote kwa mola ndipo tunapoelekea fikiri siku ya mwisho palapanda itakapo lia”.

{3} MY NAME IS JEFF


Nikawaza nita wezaje kuonekana mwema ilinibidi ni badilishe mwenendo wa maisha yangu nilijituma kufanya kazi mbalimbali  nikiwa na kazi ya kukusanya taka nyumba hadi nyumba nikiwa na mkokoteni. Sikumoja nili kwenda kutupa taka jalala  nikabahatika kuokota simu nakwabahati sikukuta laini ndani ya simu hiyo naskuweza kujua simu hiyo ni ya nani nikaitazamavizuri na kufungua ndani nikakuta simu nzima nikaichukua simu hiyo nakutafuta laine nikaanza kuitumia, nikawaza na kufikiri kasha nikahisi simu hii simuy hii itanisaidia kufikisha ujumbe wangu kwa watu  mbalimbali ili wasimsahau mungu. Nikatunga ujumbe unaosema “mungu asifiwe lolote anapanga yeye ninani tumuabudie mwingine zaidi yake yeye hakuna aliye jiumba mwenyewe sote katuumba yeye inatupasa tumsujudie”, kasha nikabuni namba nyingi mbalimbali kasha nikatuma ujumbe huo kwa namba mbalimbali ambazo nilizo zibuni. Chakushangaza wengine walinijibu meseji za kunikomesha na kunitukana lakini sikujibu kitu naendelea kufanya kazi zangu zakilasiku nikipata pesa natia vocha katika simu yangu wakati wausiku nikiwa nime tulia nikatunga ujumbe mwingine tena unaosema “Tumtukuze mola wetu ameumba pepo na moto kwa Ajili yetu  ametuandalia pepo kwa mema yetu na kaumba moto kwa maasi yetu  je? Tuangalie nyendo yetu? Hatumkosei mola wetu, Je? Pepo itakuwa makazi yetu? Au moto utachoma miili yetu. Tushindane na nyoyo zetu Tumsujudie mola wetu”.

Friday, December 13, 2013

{2} MY NAME IS JEFF



Nilipo timiza umri wa miaka 7 nilichukuliwa na Baba yangu aitwae Mr. Othman Falii alini chukua na kwenda kuishi kongo, Nili soma huko mpaka nilipo hitimu kidato cha 6 nikiwa na miaka 20 ukweli ni kwamba nili msahau MAMA yangu na hata nikimuona simjui tena pia sijui kama yupo hai au amekufa. Wakati namalizia kidato cha 6 kwa bahati mbaya BABA yangu alifariki Dunia ukweli kifo cha BABA yangu kili nichanganya sana nili hisi nimepoteza kabisa muelekeo ukweli kwa BABA nili yumba kimaisha baada ya misukosuko ya hapa na pale huko nchini kongo niliamua nije hapa nchini TANZANIA kumtafuta mama yangu . Nili fanikiwa kuingia nchini hapa nikifikia mji huu wa Dar es salaam ukweri ni kwamba sikuwa na ndugu wala jamaa nilijikuta naingia katika kundi la watoto wa mitaani hapo maisha yalizidi kua magumu sana kwangu. Nikawa ombaomba lakini swala hili la kuombaomba. Alikuni pendezea moyoni mwangu nikasema nita fanya nini huki angalia ali ya maisha ni ngumu sana niliona misukosuko mingisana ya ugumu wa maisha nimeona watu waki zulumiana nakuibiana kilicho nisikitisha zaidi kuona wanawake wakijiuza miili yao haki hakuna mwenye pesa  ndio mwwe haki sheria hazifatwi na hualifu ni mwingi hapo nikagundua ugumu wa maisha ndio chanzo na wengi wao wamemsaahu mungu aliye umba mbingu na ardhi pamoja navilivyopo ndani na dunia hii nikahisi  nafsi yangu inatamani niwe mwema kwa watu wote hiwe maskini ama tajiri, hiwe mwana mke ama mwanaume sio mototo, sio mzee, wala sio kijana.

Saturday, December 7, 2013

{1}MY NAME IS JEFF

STORY  BY JEFF A.K.A RAFIKI WA KWELI


AIMANI SALIM KHASIM ni msichana mwenye miaka 24 akiwa anatoka masomoni akiwa ana degree ya sheria kwa ufupi AIMANI ankua mwana sheria wakujitegemea ,AIMANI anaomba kibali cha kutembelea wafungwa katika gereza kubwa hapa nchini bila kipingamizi AIMANI anafanikiwa kuupata kibali na kuanza kuhojiana na wafungwa wa kifungo cha muda mrefu AIMANI anafunguriwa chumba no.1 ambacho ku namfungwa mmoja tu ambae akiwa amelala AIMANI anaingia kwenye chumba hicho askari anamwamsha mfungwa huyo ambae alikua amelala mfungwa huyo ana shtuka na kuamka kasha askari huyo anaondoka na kumuacha AIMANI akiwa na mfungwa huyo kwa maojiano mfungwa huyo anaonekana akiwa na masharefa pamoja na ndevu nyingi AIMANI anajitambulisha kwa mfungwa huyo akisema naitwa AIMANI SALIM KHASIM  sijui mwenzangu nani unaitwa mfungwa huyo anajibu akisema MY NAME IS JEFF kwakirefu naitwa JAFARI OTHMAN FALII lakini nimezoeleka kwajina la JEFF.AIMANI anaendelea kumuoji mfungwa huyo akisema samaani sana JEFF mimi ni mwana sheria wa kujitegemea ningependa kujua kilicho kufanya mpaka hukawepo kwenye gereza ili please. Naomba nieleze kwa kirefu ni mkasagani ulio kukuta JEFF anatabasam kasha ana kohoa baadae anacheka kidogo JEFF anaanza kujielezea akisema kama nilivyo kuambia hapo mwanzo naitwa JEFF nina umri wa miaka 30 nilizaliwa hapa hapa nchini.