Nilipo timiza umri wa miaka 7 nilichukuliwa na Baba yangu
aitwae Mr. Othman Falii alini chukua na kwenda kuishi kongo, Nili soma huko
mpaka nilipo hitimu kidato cha 6 nikiwa na miaka 20 ukweli ni kwamba nili
msahau MAMA yangu na hata nikimuona simjui tena pia sijui kama yupo hai au
amekufa. Wakati namalizia kidato cha 6 kwa bahati mbaya BABA yangu alifariki
Dunia ukweli kifo cha BABA yangu kili nichanganya sana
nili hisi nimepoteza kabisa muelekeo ukweli kwa BABA nili yumba kimaisha baada
ya misukosuko ya hapa na pale huko nchini kongo niliamua nije hapa nchini TANZANIA
kumtafuta mama yangu . Nili fanikiwa kuingia nchini hapa nikifikia mji huu wa Dar es salaam ukweri ni kwamba sikuwa na ndugu wala jamaa
nilijikuta naingia katika kundi la watoto wa mitaani hapo maisha yalizidi kua
magumu sana
kwangu. Nikawa ombaomba lakini swala hili la kuombaomba. Alikuni pendezea
moyoni mwangu nikasema nita fanya nini huki angalia ali ya maisha ni ngumu sana
niliona misukosuko mingisana ya ugumu wa maisha nimeona watu waki zulumiana
nakuibiana kilicho nisikitisha zaidi kuona wanawake wakijiuza miili yao haki
hakuna mwenye pesa ndio mwwe haki sheria
hazifatwi na hualifu ni mwingi hapo nikagundua ugumu wa maisha ndio chanzo na
wengi wao wamemsaahu mungu aliye umba mbingu na ardhi pamoja navilivyopo ndani
na dunia hii nikahisi nafsi yangu
inatamani niwe mwema kwa watu wote hiwe maskini ama tajiri, hiwe mwana mke ama
mwanaume sio mototo, sio mzee, wala sio kijana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment